Hali ya Siasa Nchini

Kwa kuamua kumuua Padre asiye na hatia tuwasubiri ni kuhesabu masaa tu,wataanza kutafutana sasa hivi,na mwisho wa yote kutajana nani kafanya nini na pesa na silaha wanazitoa wapi.
Niliwahi kusoma mahali Rais wetu kapokea JAMBIA kama zawadi sidhani kama ni ishara nzuri,ngoja tuvute subira.
 
nasubiri kusikia Jahazi limezama au jumba la maajabu kuteketea kwa moto.........chezeya ghadhabu ya NENO!
 
Mimi namuona Kashirila mama mmoja wa wachumia tumbo tu. Kwanza niseme pamoja na kuwa na phd lkn inaonekana elimu take haijamkomboa. Piling inaonekana anawaonea wivu wabunge ,na hasa wa vyama vya upinzani kwa uwezo na umahiri wao wa kujenga bona. Ushauri Wangu awake, akagombee grunge ili naye awe anaonekana!
vl
 
Mods,kwenye hii thread ya Honey K sidhani kama inamuelekeo mzuri kwani kila mahali amepost kitu ambacho sina uhakika kama ana facts zake.Je kama huyo PS alifanyiwa hayo kwenye mihadhara ndiyo mahali pa kusemea au kuripoti kwenye ofisi husika?Ameuliza ni lini huyo mama alifukuzwa?Tusiwachafue watu kwa sababu tumetumwa kuwachafua,haifai.Na huyu alibidi apate ban ya nguvu maana wengi tutakuwa tumekerwa na post zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…