Pole na hongera, lakini hii ni hali ya kawaida kwa baadhi ya wajawazito, anaweza akatumia vidonge vya nosic, pia jitahidi kumpa vyakula vidogo vidogo anavyovipenda, kama hali inakuwa mbaya zaidi mpeleke hospital aongezewe maji, inaweza ikawa hyperemesis gravidurum hii hunitokea Mimi, huwa naishi kwa kuwekewa maji mpaka mimba ikifika 12 weeks ndio kutapika hupungua.