hali ni mbayaaa mnooooo

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,787
haya bana,mnaosema mnaunga juhudi mkono kama kina waitara sawa tu na unaibu waziri umepewa kwarusha roho kina mnyika au ule mkwara kwamba unaenda kumtoa heche umekusaidia?lolo comedy hizi
mkimaliza kuunga mkono hizo juhudi mpitie basi na hii restaurant kula chakula muwaunge mkono hawa wanyonge
 
Kabla ya kujuwa muda uliopigwa picha ni muhimu sanaa kufanya utafiti kabla hujafungua biashara yako. Inaweza kuwa tatizo sio hali ngumu bali biashara imefunguliwa sehemu sio sahihi.
 
Kabla ya kujuwa muda uliopigwa picha ni muhimu sanaa kufanya utafiti kabla hujafungua biashara yako. Inaweza kuwa tatizo sio hali ngumu bali biashara imefunguliwa sehemu sio sahihi.
labda utawala sio sahihi awamu hii,labda zamani walikuwa wanauza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…