Nipende kusema tu kuwa mimi siyo mwana CCM ila ntamuunga mkono Mheshimiwa E.L atakapoamua kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Uraisi ndani ya chama chaka hata kama mgombea binafsi kama katiba mpya itakuwa inasema hivyo. Sababu za kukupa kura yangu ni nyigi sana. Kama una nia nikupe nguvu zaidi ya kupambana Mungu akubariki......
Waislam wanamkumbuka kama mtu aliyesimamia mkataba wa kuwapa wakristu mabilioni ya m.o.u akisaidiana na slaa.Hao watu ni wasaliti kwa mtazamo wa waislam
Nipende kusema tu kuwa mimi siyo mwana CCM ila ntamuunga mkono Mheshimiwa E.L atakapoamua kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Uraisi ndani ya chama chaka hata kama mgombea binafsi kama katiba mpya itakuwa inasema hivyo. Sababu za kukupa kura yangu ni nyigi sana. Kama una nia nikupe nguvu zaidi ya kupambana Mungu akubariki......
Ninapendekeza tabia zetu zifayiwe usafi, mwzi sio mwizi vile tu unafaidika naye?? ndo jamii yetu ya leo, ukianyakazi miezi mwili ukanunua kiwanja, gari na nyumba, wazaz wanaksifia na jamii badala ya kukamata mwizi wanakgwaya kijinga kijinga