mwelelo Member Joined Feb 8, 2015 Posts 27 Reaction score 3 Jun 19, 2015 #1 Kama kuna mtu anaeujua huu wimbo na msanii gani anijulishe
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Jun 19, 2015 #2 'mrembo' mwenyewe anayeimbiwa ni Tanzania, sio?
deez_811 Senior Member Joined Jun 24, 2015 Posts 198 Reaction score 214 Jun 29, 2015 #3 Huo in wimbo wa Emanuel nkulila aliuimba kwenye miss Tanzania miaka hiyo jamaa anaishi California USA kwa sasa ana truck yake nyingine iliyohit sana inaitwa "pain in me
Huo in wimbo wa Emanuel nkulila aliuimba kwenye miss Tanzania miaka hiyo jamaa anaishi California USA kwa sasa ana truck yake nyingine iliyohit sana inaitwa "pain in me