Hivi wewe mkeo kakuaga kuwa anaenda kijijini kusalimia wa kwenu. Tena kuthibitisha kuwa kweli ankwenda huko kwenu Namtumbo na mawasiliano hamna anaondoka na mdogo wako wa kiume. Wewe unachukua advantage ya kwenda kule Loliondo mara uso kwa uso unakutana na mywife wako na mdogo wako kule kwa babu inakuwaje?