K King_biggie New Member Joined Jul 20, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Jul 20, 2013 #1 jamaa alinunua mbuzi, akampelekea mke wake na kumpa maelekezo kama ifuatavyo; mke wangu huyu mbuzi akishachinjwa, nyama tutapika pilau, ngozi tutatengeneza ngoma. manyoya tutatengeneza mto wa kulalia, mapembe na mkia tutauza kwa mganga, tukishakula nyama mifupa tukaisage tutengeneze chakula cha kuku, utumbo tutapikia ndizi, kichwa tutachemsha supu. mbuzi akamgeukia nakumwambia "hutaki na sauti yangu ukaifanye ringtone katika simu yako?" Jamaa alizimia palepale. copied from: Mbuzi na Jamaa - Forum
jamaa alinunua mbuzi, akampelekea mke wake na kumpa maelekezo kama ifuatavyo; mke wangu huyu mbuzi akishachinjwa, nyama tutapika pilau, ngozi tutatengeneza ngoma. manyoya tutatengeneza mto wa kulalia, mapembe na mkia tutauza kwa mganga, tukishakula nyama mifupa tukaisage tutengeneze chakula cha kuku, utumbo tutapikia ndizi, kichwa tutachemsha supu. mbuzi akamgeukia nakumwambia "hutaki na sauti yangu ukaifanye ringtone katika simu yako?" Jamaa alizimia palepale. copied from: Mbuzi na Jamaa - Forum
T Tinambuya JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 419 Reaction score 41 Jul 20, 2013 #2 Ahaa nimekukubal Sent from my tina .com
N NancyM JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 314 Reaction score 40 Jul 20, 2013 #3 Huhuhuhuhu duuuu duuu mbuz mtu huyo Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
K Khakhi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 848 Reaction score 213 Jul 20, 2013 #4 hahahahahaha meeeee kashashtukia zali