Habari zenu nauza runx namba D

Mkuu nina mil5 cash mfuko wa shati.
 
Ukiwa tayari kwa milioni tano nicheki. Nipo serious
 
Habari wanajanvi, Natafuta Ghari aina ya HiCE ndogo mfano Toyota HICE au NISSAN ila iwe Manual ya kutumia diesel kwa matumizi yangu mbali mbali
Ghari hilo liwe kwenye khali nzuri na hata hvyo uchumi umebana saana so budgets yangu ni ML 6 points
Anyone mwenye nalo au kujua pls PM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…