Jamani hebu nisaidieni, nina miaka 35, Sijaoa, na nina mtoto mmoja. Hadi leo naendekeza sana Puli( Punyeto). Nyumba ninayoishi hajawahi kuingia msichana, Wapangaji wenzangu hawanielewi kwani wanahisi mimi jogoo hafanyi kazi. Yaani nimeathirika na hii kitu kiasi kwamba kwa wiki napiga hata mara tano. Imefikia sehemu, nikimpata demu lazima niingie bafuni nistue cha kwanza ndo niendelee, na nikipanda nikitafute cha pili naweza kwenda hata masaa matatu bila kumwaga. Mademu zaidi ya watatu akiwemo (Bar Maid) waliuvaa mziki wakakimbia maana wanaona sikojoi. Hebu mnisaidie maana nahisi nikija kuoa sijui itakuwaje. Tafadhali niko sirias naomba mwenye mawazo au ushauri anisaidie katika hili. natanguliza Shukraani.