K katatuu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2011 Posts 501 Reaction score 132 Nov 1, 2015 #1 Kwa wale wabunge wapya nawajulusha kuwa nina nyumba nzuri eneo la kisasa. Master mbili na chumba kimoja pia kina choo chake. Mnaweza hata kushea nyumba ni nzuri na mpya usalama upo. kwa anayetaka tuwasiliane weka no nitakupigia.
Kwa wale wabunge wapya nawajulusha kuwa nina nyumba nzuri eneo la kisasa. Master mbili na chumba kimoja pia kina choo chake. Mnaweza hata kushea nyumba ni nzuri na mpya usalama upo. kwa anayetaka tuwasiliane weka no nitakupigia.
Uso wa nyoka JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 4,791 Reaction score 2,381 Nov 1, 2015 #2 katatuu said: Kwa wale wabunge wapya nawajulusha kuwa nina nyumba nzuri eneo la kisasa. master mbili na chumba kimola pia kinachoo chake. mnaweza hata kushea nyumba ni nzuri na mpya usalama upo. kwa anaetaka tuwasiliane weka no nitakupigia Click to expand... Uanuza au unapangisha? Gharama/bei?
katatuu said: Kwa wale wabunge wapya nawajulusha kuwa nina nyumba nzuri eneo la kisasa. master mbili na chumba kimola pia kinachoo chake. mnaweza hata kushea nyumba ni nzuri na mpya usalama upo. kwa anaetaka tuwasiliane weka no nitakupigia Click to expand... Uanuza au unapangisha? Gharama/bei?
K katatuu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2011 Posts 501 Reaction score 132 Nov 1, 2015 Thread starter #4 Napangisha bei maelewano baada ya kuiona
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,195 Nov 1, 2015 #6 mululu said: poa ntakuchek Click to expand... Mkuu umeshinda jimbo lipi?
muuza ugoro JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 334 Reaction score 61 Nov 1, 2015 #7 Mkoa gani?
Medecin Platinum Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,834 Reaction score 24,338 Nov 4, 2015 #8 Savimbi Jr said: Mkuu umeshinda jimbo lipi? Click to expand... haaa haaa haaa jamiiforums raha sana