heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Umerudi ulikua wapi??????????
Jf wengine tumejiunga jana tu, unaposema umerudi hata hatukuelewi, kwamba wewe ni nani? na ulikuwa umeenda wapi? na lengo lako la kutuambia amerudi nini? na sisi tufanyaje? .
Nilitaka nikuite kumbe ushafika kwenye uzi wa best yako........
best yangu tangu lini Vin..............
hahaaaaaaaaaaaa we mtu umenifanya nicheke na maswali yako
nikijumlisha na mijadala yako ya hoja mchanganyiko
Inasemekana mnamendeana kitambo....mie simo lakini...
Inasemekana na nani??????
Unataka nikuletee mashahidi hapa? halafu huyu best ako kapaka majivu usoni?
If not mistaken, ujumbe wake ni kutugawia news kuwa: yeye bado ni photographer wa msanii aliyemtaja (yaani kibarua hakijaota nyasi) na pili, mumfuate ktk insta kupitia declared name.