chibuga mugeta
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 1,176
- 1,055
hebu na wew cheza na akili za watu!! au hutaki kumiliki ndege...njia si umeshaijuaKatika mahubiri yake ,Gwajima amesema amepewa heilkopita 2 na sasa atakuwa nazo 3,na ktk ule mkutano wake utakaoanza mbezi atatumia kufikisha ujumbe kwa watu walio mbali,atagawa vipeperushi na kuvisambaza kwa kutumia ndege hizo 3,ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao,hakuna kitu kizuri kama kujua kucheza na akili za watu hasa WANAWAKE.Tunakusubiri Masiah maana watu wako tunafanywa kama ngazi.
Dsm itatekwa na Mwakasege,mwingine anajiita nabii Genoviva na huko Mbezi atakuwa ni Gwajima,hii yote ni kulinda kondoo wasiibiwe na kuhakikisha wanapata sadaka za ukweli.
Ngoja tusubiri labda inteligensia ya POLISI itafanya kitu au Injili itahubiriwa DSM yote kwa kasi .
Huu ni mwaka wa mwendokasi,mjitahidi kutafuta sadaka waumini kazi ya Mungu ni pesa,
kama anaona ni rahisi hivyo na yeye si akafungue kanisaPoit ya mleta mada ni kwamba muandae sadaka mkanufaishe watu waendelee kununua chopa nyie mlale njaa. Kuna kanisa moja nilionaga maeneo ya kimara kologwe kama unaenda kirungule. Kipindi cha mnada unakuta kuku wa sh. 6000 anauzwa mil. 2
Kweli we we umeishiwa maana yani umepoteza mda wako kukaa kwenye kibodi na kujishughurisha ujinga huoKatika mahubiri yake ,Gwajima amesema amepewa heilkopita 2 na sasa atakuwa nazo 3,na ktk ule mkutano wake utakaoanza mbezi atatumia kufikisha ujumbe kwa watu walio mbali,atagawa vipeperushi na kuvisambaza kwa kutumia ndege hizo 3,ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao,hakuna kitu kizuri kama kujua kucheza na akili za watu hasa WANAWAKE.Tunakusubiri Masiah maana watu wako tunafanywa kama ngazi.
Dsm itatekwa na Mwakasege,mwingine anajiita nabii Genoviva na huko Mbezi atakuwa ni Gwajima,hii yote ni kulinda kondoo wasiibiwe na kuhakikisha wanapata sadaka za ukweli.
Ngoja tusubiri labda inteligensia ya POLISI itafanya kitu au Injili itahubiriwa DSM yote kwa kasi .
Huu ni mwaka wa mwendokasi,mjitahidi kutafuta sadaka waumini kazi ya Mungu ni pesa,
hahaha mtoto wa dawaaaMtoa mada ni mtoto wa dawa (in gwajima's voice) muulize mkuu wa mkoa wa Arusha aliposema walokole wanawabughudhi wananchi kwa kukesha kwa makelele aliitwa mtoto wa dawa! Naona na wewe unahamu ya kuwa mtoto wa dawa
Achana na Agent wa LusifaaaSijakuelewa hata mimi kiongozi
Unalalamika?
Unatoa maoni ?
Unashauri wanawake ?
Au unakemea?