Man u itoe ingiza man City.Spurs itoe, ingiza Man U
Man u itoe ingiza man City.
Man u ina nafasi yake maalum number 6. Haibanduki hapo. Ni kama imeilipia hiyo number 6
Wanasema inamuenzi PogbaMan u itoe ingiza man City.
Man u ina nafasi yake maalum number 6. Haibanduki hapo. Ni kama imeilipia hiyo number 6
Manfongo ni wamiliki halali wa nafasi ya 6Spurs itoe, ingiza Man U
Spurs itoe, ingiza Man U
Yaan midfielder bora kwa sasa, kwa mujibu wa kocha msema hovyo MourinhoWanasema inamuenzi Pogba
HahahahaThubutuuuuu!!
Itoe Totten ham kwenye nafasi ya Tatu kwa kuwa haiwezi kumaliza juu ya ArsenalKwa mwenendo wa ligi unavyoenda na nikilinganisha na uwezo wa Pep Guardiola katika kukinoa kwake Kikosi cha Man city nashawishika kabisa kuwa Mkufunzi huyu mahiri wa soka pasipo na shaka wala wasiwasi wowote atamaliza nje ya Top 4 hivyo kukosa nafasi ya kushiriki UEFA Champions League msimu ujao.
Kwanini nasema hivyo? Ni kwasababu Guardiola bado hajajua jinsi ya kukabiliana na soka la Kiingereza ambalo hutumia nguvu nyingi kuliko akili, kuna muda unahitaji point 3 muhimu hata kama timu haichezi mpia, yeye analazimisha timu icheze vizuri kisha ndio ishinde. Ligi ile si Ujerumani au Uhispania pale ni Uingereza ligi ya kibabe. Kwahiyo kama aipobadilika top 4 ataisikia kwenye bomba tu.
TOP 4 yangu mwisho wa msimu:
1.Chelsea
2.Liverpool
3.Spurs
4.Arsenal
Liverpool,,Man City hawawezi kumaliza ndani ya top 4.
sijui umekula maharage ya wapi.weka akiba ya maneno.man u sio wa mchezo mchezoWewe Si Bure Sijui umevuta Bange Ya Wapi? Man U akimaliza Juu Ya Liverpool Nahama Nchi na Nablock Account Yangu Ya JF...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mna maneno sanaaa aiseeWanasema inamuenzi Pogba
HahahhahahahhahWanasema inamuenzi Pogba