mkuu mtoa mada JOE HART NI KIPA MZURI sasa huyu kocha anasema hivi anapenda golikipa anayeUNGANA NA MABEKI KUOKOA MPIRA kwa mfano unakumbuka mechi ya kombe la dunia baina ya Argentina na Ujerumani ilitokea shambulizi langoni mwa Ujerumani kijana HIGUANI aliingia ndani ya 18 huku walinzi wa Ujerumani wakiwa wameduwaa yule golikipa wao NEUVER alijitoa muhanga kwa kutoka golini kwenda kupambana na Higuani matokeo yake golikipa alifanikiwa kuzima ndoto za Higuani kupata goli hapa makipa ambao angetamani apate ni kama kipa wa Atletico ,kipa wa manchester.