frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 242
Nenda shule kafute kwanza ujinga ndio urudi JF kuandikaHabar jf
Hawa GSM hawafai kudhamini timu yoyote hapa nchini, tumeshuundia miaka 3 walichokifanya ndani ya yanga ni ujaja jaja tu, Hatujawahi kuona yanga ikikaa miaka 3 ikiwa na mdhamini alafu ikakosa ubingwa
Matokeo mabovu ya timu zilizominiwa na GSM msimu huu ni mwendelezo wa jaja yao, mfano ni Namungo, hii timu haijawahi kufungwa gor 3 tena ndani ya Dk 20 tu
Ushauli wangu naomba mnaopata udhamini wa hawa jamaa mjitafakali mala mbili,
Naziona timu zote zilipokea pesa za mchongo kutoka GSM Kuna timu moja inashuka daraja moja kwa moja na zingine zitabaki kungana play off
Uzi huu naomba utuzwe na Kama Kuna mtu anabisha alete mkono
Itakuwa safi sanaPia GSM ndie mwenye haki miliki ya Wachezaji wanaosajiliwa Yanga.
Wamemuuza Tuisila, Mwezi ujao pia watafanya Biashara ya wachezaji Mukoko na Aucho kisha watajitoa kufadhili vilabu na kubaki kuwa wadhamini wenza wa ligi kuu tu.
Sabab umeelewa haina shiadaMwalimu wako wa chekechea hakufanya kazi yake inavyotakiwa.
Ngoja tuoneItakuwa safi sana
Hawa jamaa wakuja kuua mpira kabsaGSM ndie mwenye haki miliki ya Wachezaji waliosajiliwa Yanga.
Wameshamuuza Tuisila, Mwezi ujao pia watafanya Biashara ya wachezaji Mukoko na Aucho kisha watajitoa kufadhili vilabu na kubaki kuwa wadhamini wenza wa ligi kuu tu.
Sikuelewi!Ngoja tuone
Sorry bwana kumbe ninaguote mweehu nilikuwa sijuwSikuelewi!
Ubongo wako nadhani utakuwa na shida sehemu.
Nakushauri waone madaktari bingwa upate tiba mapema
KwerMimi shabiki wa yanga nakusapoti kabisa
Ngao ya jamii ndo nn??Vp Simba nayo ilipofungwa ngao ya jamii ilikula posho nini ?
Hawatufai, wanatuhalibia mpira wetuYupo kibiashara zaidi...
TuwapingeKwer
Kweli kichaa kimeanza inajitia dole nyuma halafu unajinusa. Huna unachojua kwenye football achilia mbali elimu yako duni.Hawatufai, wanatuhalibia mpira wetu