Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,146
Asilimia 99 karibu ya matunda yote ni Dawa inategemea unaumwa ugonjwa gani mkuu MjamaicaMimi nilinunua miche miwili miezi 3 iliyopita na kuipanda kwenye ua wa nyumba yangu baada tu ya kupata Email toka kwa jamaa yangu wala sikujiuliza mara mbili mbili.
Ila kitu kikubwa watu wachotakiwa kujua Mkuu Mzizi Mkavu ni kuwa matunda mengi kama si yote ni DAWA
Kicheko! I love that!ha ha ha ha ha!!mkuu ushatujuza hii ni dawa muhimu kwa hiyo hata kuitoa toa nimeshapiga marufuku!!!!
Tumia Tangawizi kavu ya unga kijiko kimoja changanya pamoja na kijiko kimoja cha Asali Safi ya nyuki kula kila siku asubuhi kabla ya kula kitu na usiku kula hivyo hivyo kwa muda wa siku 7. Kisha njoo hapa uniambie je bado mashine yako haijamka? kama bado haija amka tembelea hapa bonyeza https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.htmlmashine yangu imekataa kuamuka tafadhali nisaidieni mke atapotea