Graviola Tree "10000 Times Stronger Killer Of Cancer Than Chemo"

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
attachment.php

Story:
"10000 times stronger killer of CANCER than Chemo".. do share it.. can save many lives, fill up hopes and build confidence in the patients...

The Sour Sop or the fruit from the graviola tree is a miraculous natural cancer cell killer 10,000 times stronger than Chemo. Why are we not aware of this? Its because some big corporation want to make back their money spent on years of research by trying to

make a synthetic version of it for sale. So, since you know it now you can help a friend in need by letting him know or just drink some sour sop juice yourself as prevention from time to time. The taste is not bad after all. It’s completely natural and definitely

has no side effects. If you have the space, plant one in your garden. The other parts of the tree are also useful.
The next time you have a fruit juice, ask for a sour sop.

How many people died in vain while this billion-dollar drug maker concealed the secret of the miraculous Graviola tree? This tree is low and is called graviola ! in Brazi l, guanabana in Spanish and has the uninspiring name “soursop” in English. Read more


Hoax or Fact:
Mixture of hoax and facts.

Analysis:

The message claims that Graviola, also called Soursop is a miraculous, natural cancer cell killer which is 10,000 times stronger than Chemotherapy. It is a fact that Soursop has certain health benefits, but the part of the message saying it is natural cancer cell killer, 10,000 times stronger than Chemotherapy, is a certain hoax.


Graviola (Annona muricata) is a fruit that generally grows in the rain forests of Africa, South America, and Southeast Asia. It has other names like soursop, custard apple, cherimoya, guanabana and Brazilian paw. The bark, leaves, root, and fruits of this tree

are used for traditional remedies in many countries. Graviola extracts are used for treating infections of viruses or parasites, rheumatism, arthritis, diarrhea, dysentery, depression and sickness.


The idea that Soursop can fight cancer effectively started after a research at Purdue University's School of Pharmacy and Pharmaceutical Sciences. The research concluded that the active components of the tree are a unique phytochemical substances known as annonaceous acetogenins, which MAY have chemotherapeutic potential, especially with regard to multi

drug-resistant cancer cells. But these tests were only confined to test tubes, no large scale clinical trials were conducted on humans to determine the safety and efficacy of Graviola for treating cancer. Therefore, there is no significant evidence to show that

Soursop works as a cure for cancer. Even Wikipedia says the same

There is evidence indicating that the fruit's extracts selectively inhibit the growth of human breast cancer cells by downregulating expression of epidermal growth factor receptor (EGFR) in vitro and in a mouse model, but the effect has not been studied in humans.


Moreover, studies show that use of Soursop can have some adverse effects in some people, especially nerve damage that is similar to Parkinson's disease, which is due to the very high concentration of annonacin. Refer

Therefore, the message saying that Graviola, i.e Soursop is 10,000 times more effective cancer killer than chemo is a hoax. However, you can find thousands of websites online selling it as a miracle fruit. We advise people not to believe them blindly, but consult a doctor or oncologist before using it.

Mti huu nimeusahau kwa kiswahili wanaojuwa jina watuambie unaitwaje kwa kiswahili unatibu Ugonjwa wa Kensa
 

Attachments

  • Staferi.jpg
    Staferi.jpg
    15 KB · Views: 908
Tunashukuru kwa taarifa yako nzuri ya kitabibu. Jamani tuwe tunakula matunda mara kwa mara kwa afya zetu kwani ni dawa. Tusingoje ushauri toka kwa madaktari au mpaka tuumwe.
 
mkuu MziziMkavu nitakusaidia kwa kukupa mbegu ukaoteshe!!angalau na wewe usote kulimwagia maji na mbole!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilinunua miche miwili miezi 3 iliyopita na kuipanda kwenye ua wa nyumba yangu baada tu ya kupata Email toka kwa jamaa yangu wala sikujiuliza mara mbili mbili.

Ila kitu kikubwa watu wachotakiwa kujua Mkuu Mzizi Mkavu ni kuwa matunda mengi kama si yote ni DAWA
 
Mimi nilinunua miche miwili miezi 3 iliyopita na kuipanda kwenye ua wa nyumba yangu baada tu ya kupata Email toka kwa jamaa yangu wala sikujiuliza mara mbili mbili.

Ila kitu kikubwa watu wachotakiwa kujua Mkuu Mzizi Mkavu ni kuwa matunda mengi kama si yote ni DAWA
Asilimia 99 karibu ya matunda yote ni Dawa inategemea unaumwa ugonjwa gani mkuu Mjamaica
 
Last edited by a moderator:
Kwa ujumla, jitahidi kuwa mrafi wa veg na matunda hata kama huyapendi radha yake maana kila moja lina umuhimu wake
 
STAFELI: LINA UWEZO WA AJABU WA KUTIBU MAGONJWA HATARI

attachment.php


MAPEMA wiki iliyopita, ilitawala habari ya tunda la stafeli kuwa na uwezo mkubwa wa kutibu

magonjwa hatari, ukiwemo ugonjwa wa saratani. Hata hivyo, utafiti wa kwanza kuonesha uwezo wa

stafeli kutibu saratani, uligundulika tangu miaka ya sabini, lakini ulifanywa siri hadi hivi karibuni

ulipowekwa bayana tena.


attachment.php


Hivi sasa wakereketwa wa tiba mbadala na dunia kwa ujumla, wanafahamu kuwa stafeli lina virutubisho

vyenye uwezo mkubwa wa kutibu magonjwa ya saratani kushinda hata dawa za kisasa. Tunda hili

linapatikana nchini kwa wingi, mjini na vijijini. Kwa lugha za kigeni linajulikana pia kama Soursop au Graviola.

VIRUTUBISHO VILIVYOMO


Kwa mujibu wa tafiti za kisayansi, stafeli limesheheni idadi kubwa ya virutubisho ambavyo ni: Amino Acid, Acetogenins, Vitamin C, Iron, Riboflavin, Phosphorus, Thiamine, Calcium, Carbohydrates, Niacin na Fibers na vingine vingi.

SARATANI NA STAFELI


Ingawa suala la stafeli peke yake kutibu saratani lina mjadala, lakini hakuna shaka kabisa kuwa lina virutubisho vyenye uwezo wa kupambana au kupunguza makali ya saratani. Ukweli uliogundulika hivi

karibuni, umewapa wagonjwa wa saratani njia nyingine mbadala ambayo haikuwepo hapo awali. Kwani hivi sasa wanaweza kulitumia stafeli kama dawa ya kupunguza makali au kuwapa kinga dhidi ya saratani na wanaweza pia kuitumia pamoja na matibabu wanayopewa ya mionzi na kupata ahueni kubwa.

USHAHIDI WA KIMAABARA


Zaidi ya majaribio 20 ya kimaabara yaliyofanywa kuhusu uwezo wa stafeli, yamebaini haya yafuatayo:

Stafeli huua chembechembe za saratani (cancerous cells) aina 12, ikiwemo saratani ya matiti, mapafu, kongosho, kibofu na tumbo.

Stafeli lina mchanganyiko wenye uwezo mkubwa wa kudhibiti ukuaji wa seli za saratani mara 10,000 zaidi ya

dawa ya ‘Adriamycin’ ambayo ndiyo hutumika kutibu aina mbalimbali ya saratani.

Mchanganyiko wa virutubisho vya ‘Annonaceous’ ‘Acetogenins’ vilivyomo kwenye stafeli huua seli (cells)

zilizoathirika tu na saratani, tofauti na dawa za kisasa ambazo zenyewe huua seli zilizoathirika na hata zisizoathirika.

Stafeli hudhibiti ukuaji wa seli za saratani bila kusababisha madhara mengine kama ilivyo kwa dawa za

kisasa, ambazo wakati mgonjwa anapozitumia, iwe zile za njia ya mionzi, sindano au vidonge, huwa zina athari mbaya kwa mtumiaji na wakati mwingine huweza kumsababishia matatizo mengine ya kiafya.

UMUHIMU WA STAFELI KWA WANAOTUMIA TIBA YA KISASA


Mgonjwa wa saratani anayetumia tiba ya hospitali anashauriwa pia kula sana stafeli kwani lenyewe husaidia kupunguza makali ya dawa anazotumia.


 

Attachments

  • stafeli.jpg
    stafeli.jpg
    62.4 KB · Views: 705
  • stafeli3.jpg
    stafeli3.jpg
    20.5 KB · Views: 731
STAFELI: LINA UWEZO WA AJABU WA KUTIBU MAGONJWA HATARI - 2





KWA mfano baadhi ya dawa za hospitali huathiri njia ya chakula na kumsababishia mgonjwa ukosefu wa choo kwa muda mrefu, lakini stafeli likitumika hurekebisha hali hiyo na kumsaidia mgonjwa kupata choo kama kawaida.
Vilevile, baadhi ya dawa za hospitali za saratani hudhoofisha kinga ya mwili, lakini virutubisho vilivyomo kwenye stafeli, hasa vitamin C, huzifanya kinga kuwa imara na hivyo kuziimarisha hivyo kumuepusha mtu kupatwa na maambukizi mengine, kama ya njia ya mkojo, mafua na kikohozi cha mara kwa mara.


FAIDA ZINGINE ZA STAFELI NI KAMA ZIFUATAVYO:

Hutoa nafuu ya kipanda uso.
Kirutubisho aina ya Riboflavin kilichomo kwenye stafeli, husadia kutoa nafuu kwa ugonjwa wa kichwa cha kipanda usoni.


HUZUIA UGONJWA WA ANEMIA

Madini ya chuma (iron) yaliyomo kwenye stafeli, hufaa sana katika kuzuia ugonjwa wa kukauka damu mwilini (anemia).

HUTIBU MAGONJWA YA INI

Juisi ya stafeli inajulikana kwa uwezo wake wa kutibu matatizo ya kwenye ini na uvimbe kwenye kibofu cha mkojo.

HUIMARISHA MIFUPA

Stafeli ni chanzo kizuri pia cha madini ya kopa (copper) na kashiamu (calcium), virutubisho ambavyo huwa muhimu kwa ukuaji wa mifupa mwilini.
Matatizo mengine yanayoweza kudhibitiwa na stafeli ni pamoja na kuumwa miguu, maumivu kwenye ‘joints’, mwili kukosa nguvu na matatizo mengine ya viungo.

MAJANI, MIZIZI, MAGAMBA NAYO NI DAWA

Mbali ya tunda lenyewe kuwa na faida lukuki kama zilivyoanishwa hapo juu, vilivyomo vingine kwenye mti huo kama vile mizizi, majani na magamba yake ni dawa ya magonjwa mbalimbali:
Unywaji wa maji yaliyotengenezwa kutokana na majani ya mstafeli hutibu magonjwa ya ngozi, chunusi na uvimbe wa mwili.
Maji ya majani ya mstafeli pia hutibu ugonjwa wa kuhara, kukohoa, kuvimba miguu, mapunye kichwani. Aidha, maji ya majani ya mstafeli yamethibitika kushusha kiwango cha sukari mwilini.

TAHADHARI

Inaelezwa kwamba stafeli linaweza kuwa siyo salama kwa wajawazito, wagonjwa wa presha ya kupanda au kushuka (hypotension or hypertension), hivyo wanashauriwa kabla ya kula, wapate ushauri wa daktari kwanza.

USHAURI

Kwa asili yake, stafeli lina kiasi kingi cha virutubisho vinavyoua bakteria, hivyo ulaji wa muda mrefu wa tunda hili kunaweza kuua bakteria wote tumboni hata wale wazuri, hivyo iwapo utalila tunda hili kwa zaidi siku 30 mfululizo, unashauriwa pia kuongezea na dawa za kulainisha njia ya chakula.

JINSI YA KULITUMIA STAFELI

Stafeli linaweza kuliwa katika aina tofauti. Kama unataka kupata faida zake zote, unaweza kulila lililoiva kama lilivyo au unaweza kutengeneza juisi yake. Unywaji wa maji yatokanayo na majani, mizizi au magamba yake, unaweza kunywa kama chai au kinywaji kingine cha kawaida.


 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom