Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,157
- 1,688
Good Afternoon,Habari
Kuna waliopata mrejesho kuhusu hii post walio apply?
| Human Resources Department, Tanzania | |
| Harambee Plaza A.H Mwinyi Road/Kaunda Drive | |
| P. O. Box 804 Dar es Salaam, Tanzania | |
| Walinitumia hiyo email mkuu ilikua last Friday kama sikosei. |
Duh..one man downGood Afternoon,
Thank you for showing interest to join KCB Bank Tanzania Limited. This is an entry-level position and in order to be considered, you must meet the following minimum criteria:
- Must be a Tanzanian Citizen
- Possess a Pass mark of at least ‘C ‘ in Math’s and English (both O-level and A-Level secondary school grades).
If you meet the above criteria, may we request you to submit your Form IV and VI secondary school Academic certificates to this email by tomorrow before 12.00Noon.
Kind regards,
Human Resources Department, Tanzania Harambee Plaza A.H Mwinyi Road/Kaunda Drive P. O. Box 804 Dar es Salaam, Tanzania Walinitumia hiyo email mkuu ilikua last Friday kama sikosei.
Na English pia.ila hao kcb nao ni mapoyoyo tu.Wenye D na F za hesabu poleni
Hesabu ni jangaNa English pia.ila hao kcb nao ni mapoyoyo tu.
Kwanini mapoyoyo mkuu wanapunguza mzigo wa applicants 500+Na English pia.ila hao kcb nao ni mapoyoyo tu.
Pole mkuu.hujajibiwa chochote mpaka leo?Duh..one man down
Hata mimi nilitumiwa hii nika watumia ila mpaka sasa kimyaGood Afternoon,
Thank you for showing interest to join KCB Bank Tanzania Limited. This is an entry-level position and in order to be considered, you must meet the following minimum criteria:
- Must be a Tanzanian Citizen
- Possess a Pass mark of at least ‘C ‘ in Math’s and English (both O-level and A-Level secondary school grades).
If you meet the above criteria, may we request you to submit your Form IV and VI secondary school Academic certificates to this email by tomorrow before 12.00Noon.
Kind regards,
Human Resources Department, Tanzania Harambee Plaza A.H Mwinyi Road/Kaunda Drive P. O. Box 804 Dar es Salaam, Tanzania Walinitumia hiyo email mkuu ilikua last Friday kama sikosei.
Dah acha tuu nafasi yenyewe sijui ni mmoja au ni watu wangp wanahitajiKwanini mapoyoyo mkuu wanapunguza mzigo wa applicants 500+
Hao nahisi mpaka wapate go ahead from headquarters Nairobi.Hata mimi nilitumiwa hii nika watumia ila mpaka sasa kimya
Ndio hivyo aiseePole mkuu.hujajibiwa chochote mpaka leo?
Mapambano yaendelee mkuu.Ndio hivyo aisee
Ahsante sana , hopefully mambo yataenda vizuriMiaka flani ya nyuma niliwahi kufanya nao interview ya sales Representative.
Niliapply kwa portal yao wakanitumia ujumbe wa kuniambia niwatumie copy za vyeti vyangu vya form 4 na 6 kama najua nimefaulu math's na English kwa angalau C grade.nikawatumia baada ya muda wa siku kadhaa wakanialika kwenye interview.bahati mbaya wakati wananipigia kunijulisha kuwa nimepata ile kazi nilikua tayari nimepata sehemu nyingine. Ila hawa jamaa kwa kipindi kile walikua wanalipa vizuri sana compared na local banks kama nmb au crdb.so ukipata nakushauri nenda kachape kazi kijana.
Hujasikia chochote mkuu?Mtu akipata new update tufahamishe jaman
Bado aiseeHujasikia chochote mkuu?