Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Hizi timu bado zipo? Nilisikia zilishuka daraja
mzee uko sawa,AFC LEOPARDS ilikuwa ikijulikana kama Abaluhya fc kwa sababu wafuasi wake wengi ni wa kutoka kabila la waluhya. Gor mahia wenyewe walijulikana kama Luo union.Kumbe hizi timu bado zina ushabiki wa namna hii? Nilifikiri ziliishafutika kwenye ulimwengu wa soka. Hii AFC Leopold ndio walikuwa wanaitwa Abaluya au Luo union? Mwenye kumbukumbu nzuri anisadie kuweka mambo sawa hapa.Tiba
Mimi ni msimbazi lakini hapo nitawatetea yanga kwani hawakushindwa.Walitoka suluhu ya moja kwa moja.Tena jamaa ndio walichomoa.wana deserve. Walimpiga yanga juzi juzi arusha hapa