Asante KiongozNenda na document ambayo googles wamekutumia ,hiyo document ina vitu vifuatavyo control number,billing id,jina la sender na reciver....hakikisha jina la receiver linakuwa sawa na vitu vifuatavyo kimoja wapo national I’d,passport,voting id or driving license...then utapokea pesa yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kupick up within 60 days ni kwamba usipotoa hela zako ndani ya cku 60 zitarudishwa kwenye account yako ya adsense mpaka utakapo request tena wakutumie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie si ndio mnatusumbua kila siku mitaani kuwa online business ni utapeli endeleeni KULIMA MATIKITI kama mtatoboa Tanzania hii wakati wenzenu wanaendelea kupiga pesa. But usifikirie tu kupata pesa kwa adsense you can think beyond it's your time to do research but not all businesses online will give you money others WITHDRAW your account and time while they get money. Majirani zetu walianza mapema sana ndio maana ata online marketplace za bongo zimeanza kupitia kwao ndio zikafika hapa.kumbe kweli hiz hela zipo duu nilidharau mnielekeze wakuu
ok sasa nipe mwongozoNyie si ndio mnatusumbua kila siku mitaani kuwa online business ni utapeli endeleeni KULIMA MATIKITI kama mtatoboa Tanzania hii wakati wenzenu wanaendelea kupiga pesa. But usifikirie tu kupata pesa kwa adsense you can think beyond it's your time to do research but not all businesses online will give you money others WITHDRAW your account and time while they get money. Majirani zetu walianza mapema sana ndio maana ata online marketplace za bongo zimeanza kupitia kwao ndio zikafika hapa.
Fanya research mkuu kuna fursa nyingi mtandaoni nyingine zinahitaji uinvest kidogo nyingine hazihitaji ni muda wako tu. tafuta wapi unafitok sasa nipe mwongozo
Ukajua ni story tu.. Pole sana!!kumbe kweli hiz hela zipo duu nilidharau mnielekeze wakuu
Hao si wanajua kilakitu ni kama Q-netUkajua ni story tu.. Pole sana!!