Google adsense kufunga akaunti

dottoz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
1,510
Reaction score
881
Dah yan hawa jamaa wamenimaliza nguvu kabsaaaa,,google adsense wamenifungua juzi akaunti yangu et kisa invalid clicks,,na wakaniambia ni appeal nikafanya hvyo na wakaja nijbu ombi langu wamelipokea na wameamua kunitoa kabsaa kwenye huduma hii,

sasa nilkuwa nauliza je naweza tena kutengeneza blog nyngne na nikajiunga na google ads kwa kutumia computer mpya na payee name tofauti maana jamaa wako vzuuri sanaaa toka 1984 mpaka sasa si mchezo jamaa wako vzur sanaa kiteknolojia.
 
Dah mkuu hawa jamaaa hatar sanaaaa yan watu wakiwa wanagonga click hovyo hovyo jamaa zako marafk zako kumbe jamaa robot zao kwa system zao znaona
 


pole sana kwa hilo nafiri ulikuwa umeweka zile sticky ads kama sijakosea ili upte pesa ya haraka unakuwa umechemka sasa weka kawaida na pesa itaingia tu njia za mkato ni mbaya sana jitahidi kuminimize error kama hzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…