Yakimkuta ndiyo atakuja kusoma ulichoandikaMnapenda tu wake za watu eehh?
Imeandikwa Usitaman mali ya jiran yako na Usiibe .
Tafuta yako ,kila king'aacho sio dhahabu.
Gentlewoman
Wewe sema hujaelewa kilichoandikwa, ueleweshwe, sasa hyo pumba unayosema iko wapi?bora kuandika kwa kiswahil cha maana, kulko kwa englsh ch pumba (cjasoma mada)
bora kuandika kwa kiswahil cha maana, kulko kwa englsh ch pumba (cjasoma mada)
Don't claim, sio kila anayepost ni mwanaumeMnapenda tu wake za watu eehh?
Imeandikwa Usitaman mali ya jiran yako na Usiibe .
Tafuta yako ,kila king'aacho sio dhahabu.
Gentlewoman
Aahh sawa ,ivo wee ni mwanamke !!
msamehe mchangiaji hajitambui nd mana akaandika hajasoma madaWewe sema hujaelewa kilichoandikwa, ueleweshwe, sasa hyo pumba unayosema iko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app