Nime underline hiyo kwa kuwa hiyo ndio inahusika zaidi, kwani mazoezi yanafanya mwili uwe vizuri tu na kama unakula hovyo hovyo bado utakuwa mnene.
Ila kama unajua nini chakula na kutokula utapungua. Nimepungua 4 ndani ya mwezi mmoja, nataka nipungue tena kama kilo 4 zingine halafu nianze kula chakula ninachoweza kuunguza calories zake kwa siku.