'Golden Chance' kwa Samwel Sitta

Shughuli ya kutaja ni kwa wanaume wa CDM tu, hawa wamama wa CCM msiwasumbue
 
Unawaza karibu sana kwani kushirikiana na takukuru mpaka uachie madaraka mbona slaa alivyoiba hela za chama hakuachia ngazi.
 

VUTA..Sitta hajaanza leo kusema sema mambo kama haya! Hadi sasa hatujaelewa lengo lake, na naona Watu wanamwita mara mnafiki, mara jasiri, mara haeleweki, ... kinachomsukuma...Halafu Ajiuzulu?
 
m 23; Naona unaunga mkono hoja wakati Mhe.Samwel Sitta anatajwa kutokuwa na msimamo sawa na Mhe.Pinda wakati mko mrengo mmoja au ndo matokeo ya kambi ndani ya CCM nawe upo kwa Lowassa?
 
Last edited by a moderator:
Jukumu letu nikudadisi je takukuru watafanya kazi inayowahusu na kuwapa wananchi majibu ya uhakiki au nao ni sehemu ileile kwa sura tofauti. Haya tusubiri.....
 
Uncle Deo
we talking about missuse of public property and not comparing politicians. Do a right things, right place in a right time. Don't hesitate on public issues and bringing backwad ideas.
 
Last edited by a moderator:
Sawa tunaweza kumuunga mkono lakini baadaye akatugeuka,Mimi sidhani kama 6 ana dhamira ya kweli ya kupambana na ufisadi!!! Mbona ishu ya Richmond alitugeuka dakika za mwisho??!!!!!

Ameona hako ka wizara anakoongoza hakana ulaji. Sasa anafumuka ili akumbukwe kwenye kubwa. Hakuna kumwuunga mkono. Wakati wa Richmond walitumia m100 lakini bila aibu Mwakyembe akasema ameficha sehemu ya ripoti. Wakajitangaza mitume 12 wanaopinga ufisadi. Kiko wapi? Unawezaje kuwaamini hawa waanzilishi wa CCJ wakiwa bado CCM? Hawa ni watu hatari. Ukimwunga mkono utajuta. Lazima atakugeuka.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jukumu letu nikudadisi je takukuru watafanya kazi inayowahusu na kuwapa wananchi majibu ya uhakiki au nao ni sehemu ileile kwa sura tofauti. Haya tusubiri.....
 

huwa simuelewi huyu mzee,ila ndo hivyo
 
PRITENDA mkubwa huyo,atueleze na yeye ufisadi wake wa kujenga ofisi ya spika urambo na kugawa hongo ya pikipiki kwa wananchi kwenye uchaguzi.
 
ujue kati ya watu wanafiki na wanakera ni sita aisee... sasa kama ashajua kuna viongozi wamefisadi... na yeye ni kiongozi katika serikali hiyo hiyo anasubili nini kujiondoa sasa? watu wengine maboya tu... mimi naona anasaka huruma ya wananchi aonekane yeye kweli mpambanaji kumbe fisadi tu wa kisirisiri.... inakera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…