VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Hawezi kufanya hivyo kabisa huyo mnafiki
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Samwel Sitta amepata nafasi adimu. Jana,Samwel Sitta amenukuliwa akisema kuwa kuna viongozi waandamizi Serikalini waliofanya usanii wakati wa ujio wa Obama na kutafuna shilingi bilioni 8 za kitanzania.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Bwana six. Alishajipoteza kwenye siasa za bongo kwa UNAFIK wake.
Sita na pinda ni wale wale kasoro majina tu
Wanajanvi, tusiruhusu matashi yetu ya kisiasa yatuzuie kupiga kelele dhidi ya wizi huu wa kimacho macho. Sitta kalianzisha, tumuunge mkono.
Angalau anathubutu. Sio wale wa ndioooooooo!