Godown maeneo ya Kurasini

Agi01

Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
34
Reaction score
24
Wadau linahitajika godown la kununua, liwe maeneo ya Kurasini. Liwe limekamilika na liwe katika mazingira ya usalama. Bei sio tatizo.
 
Wadau linahitajika godown la kununua, liwe maeneo ya Kurasini. Liwe limekamilika na liwe katika mazingira ya usalama. Bei sio tatizo.
Poa. Ngoja madalali tuingie kazini. Unataka la ukubwa gani mkuu? Ni inbox number yako tafadhali ungojee tu kuja kulipia...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…