M MSOFEjr New Member Nov 21, 2011 4 0 Nov 21, 2011 #1 Jamani mimi nina tatizo la primary goat,please naomba ushauri wa kumaliza tatizo hili,yani sasa hivi sina amani kabisa,kwani nasikia ugonjwa huu husaBABISHA matatizo kwenye kibofu pia!:shock::shock:
Jamani mimi nina tatizo la primary goat,please naomba ushauri wa kumaliza tatizo hili,yani sasa hivi sina amani kabisa,kwani nasikia ugonjwa huu husaBABISHA matatizo kwenye kibofu pia!:shock::shock:
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,902 155,989 Nov 21, 2011 #2 pole sana mpendwa. Ninakuombea, ila pia nenda hospitali ukapate matibabu
Adrian Stepp JF-Expert Member Jul 1, 2011 2,764 2,581 Nov 21, 2011 #4 Preta said: mmh....huu ni ugonjwa gani....? Click to expand... bibie ushaambiwa Mbuzi huelewi tuu??
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Nov 21, 2011 #5 Tbag Hatari said: bibie ushaambiwa Mbuzi huelewi tuu?? Click to expand... nadhani bado nina mning'inio wa w/end.......hii mbuzi unaumwa wapi tena pale....?
Tbag Hatari said: bibie ushaambiwa Mbuzi huelewi tuu?? Click to expand... nadhani bado nina mning'inio wa w/end.......hii mbuzi unaumwa wapi tena pale....?