Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 12,176 Reaction score 16,586 Sep 18, 2018 #1 Wakuu nahitaji kuzifahamu gharama za kupata vifaa vya kupigia picha na Tafadhali muhimu kuvitaja ni kipi na kinapatikana kwa bei ipi
Wakuu nahitaji kuzifahamu gharama za kupata vifaa vya kupigia picha na Tafadhali muhimu kuvitaja ni kipi na kinapatikana kwa bei ipi
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Sep 18, 2018 #2 camera inatakiwa
nessonlegend JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 1,698 Reaction score 1,514 Sep 18, 2018 #3 Mi nafikiri ungesema vizuri unataka kuwa cameraman wa namna gani maana wapo wanaotumia digital ndogo na wenye midigito mikuuuuubwa, so wapo profeshno na odino
Mi nafikiri ungesema vizuri unataka kuwa cameraman wa namna gani maana wapo wanaotumia digital ndogo na wenye midigito mikuuuuubwa, so wapo profeshno na odino
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,588 Reaction score 43,668 Sep 18, 2018 #4 Be specific