Pole sana.
Ila kila biashara ina hasara hivyo lazima uwe umejiandaa kwa hali kama hiyo kisaikologia pia kuhakikisha unazuia isitokee na hata ikitokea uweze kuukabili.
Wengi wetu huwa hutuzingatii uwekaji wa njia za moto kwenye mashamba ya Miti na pia kuwa na mahusiano mazuri na wenyeji.