na kwakweli safari hii naomba tuiboreshe zaidi!eneo la tukio shemeji atatupi-emu!Nitafika wa kwanza kama tulivyofanya kwenye previous mtng.
tuko pamoja mpiganaji!tutakubipu tu wewe utaruka hewani!furaha iliyoje unaongea laivu na SEMENYADuu hamuwezi postpone till further notice ? hahahahahah Nguli una simu yangu wewe nibeep mimi nitaongea na wote hahahahah next time nitakuja na Mzeenj akiwa na Hijab na mimi kwenye kanzu ila tutakamua ulabu na kiti moto!
na kwakweli safari hii naomba tuiboreshe zaidi!eneo la tukio shemeji atatupi-emu!
naomba tuzingatie muda!(kwako shemeji krispini!)
Duu hamuwezi postpone till further notice ? hahahahahah Nguli una simu yangu wewe nibeep mimi nitaongea na wote hahahahah next time nitakuja na Mzeenj akiwa na Hijab na mimi kwenye kanzu ila tutakamua ulabu na kiti moto!
Kwanza kabisa Masa hayuko kwenye dozi, bali kawekwa kinyumba zenj, au kwa lugha nyingine yuko asalimwezi anajiexpress.Yale mambo yetu yale. Yale ya Bwashee Geoff na dada yangu ambao wapwa na mabinamu wa JF tulifanikiwa kuweka mambo yao sawa. Nazungumzia kale ka get tugedha ka kuwapongeza. Jumapili ni kesho kutwa.
Nataka kujua nani na nani wanaahidi kuhudhuria bila kukosa ili mwenyekiti niendelee na maandalizi kabambe. Lokesheni nitawatumia kwa PM ili wale bestfriends zake mpwa nguli wasiharibu mazingira, si mnajua tena? (Yu knoo woram seing?) Mawazo ya nini nanini kiwepo yanapokelewa kwa mikono miwili.
Mpwa Masa najua yuko kwenye dozi, anaruhusiwa kutuma mwakilishi. Wapwa kazi kwenu kujivinjara na kupongezana. Kwenda off point ni strictly prohibited!
Naomba kutoa hoja.
Duu hamuwezi postpone till further notice ? hahahahahah Nguli una simu yangu wewe nibeep mimi nitaongea na wote hahahahah next time nitakuja na Mzeenj akiwa na Hijab na mimi kwenye kanzu ila tutakamua ulabu na kiti moto!
Hahaha! Naimagine utakavyoingia na bajaji! hehehe!
hahahahahahahahah!furaha iliyoje!kibajaji fastaHahaha! Naimagine utakavyoingia na bajaji! hehehe!
hahaaaaaa Ithought ulimpiga stop semenya, ole wako fidel asipotokea mi simo, utajashangaa anakung'ang'ania mbele ya wife. lol.tuko pamoja mpiganaji!tutakubipu tu wewe utaruka hewani!furaha iliyoje unaongea laivu na SEMENYA
Hana wadogo zake mitaa ya Sinza?
Hana wadogo zake mitaa ya Sinza?