German defence minister resigns in PhD plagiarism row

Nasikia alisha sema "akisimama yeye ni sawa kasimama Mungu"

Cheti cha ubatizo sijui kwakweli ila nataka kujua alijifunza wapi haya maneno?

UBASHITE tu!
Always huwa nakiita kitoto kutokana na mambo ya kitoto kinayoongea.
Sasa ukija kwenye ule utoto wa Sugu ndiyo balaa kabisa sitakagi hata kukiona
 
Hii ya PhD haimihusu sana Bashite bali Sizonje.
 
Kwa nini hii ishu iwe na high impalse kipindi hiki? Yaani mtu katokea kwenye ukuu wa wilaya ina maana elimu yake ilikuwa nyingine tofauti na ya ukuu wa mkoa? Hakuna ulinganifu wa tukio la kujiuzulu kati ya huyo waziri na yeye. Kuna tofauti kubwa sana.
 
DAUDI BASHITE DAUDI BASHITE MTAPINDA MIDOMO KWA KUMTAKA MAKONDA APATWE NA MABAYA WENGINE HATA KUWAPIGIA WAZAZI WENU SIMU KUWASALIMIA MUDA HAMNA MMEKALIA TUU DAUDI BASHITE ...MWENZENU NDO KWANZA MUNGU ANABARIKE WAJINGA NYINYI
 
Bashite ukimfanyia investigation ya ukweli hata chuo unaweza ukakuta amepiga foggery sana hadi akapata degree yake kimagumashi i.e undue influence ya Sitta ilitumika i guess
Masikini Bashite!
 
Ndalichako wajibika ktk hili,vyeti vyeti vya huyu ndugu
 
Endeleeni kuhangaika na mitandao Makonda atabaki kuwa Makonda....hatumbuliwi mtu hapa.
 
Mhh!! mzee hizi za deep kiasi hiki tuwaachie huko mbelembele tu hapa kwetu tuishie kudeal na basic credential tu ...

Ukiigusa plagiarism ya thesis kibongobongo usishangae hata Sizonje mwenyewe akang'oka ... picha linaanza masters zote zilizo shika ofisi, vitengo na idara zote muhimu zitakua matatani

Yani itakua mkorogano ... na mwisho wa siku mnywaji asipatikane ... hatimae ngoma itabidi iamuliwe kuwa standardised kwa sababu ya ukubwa wake ... ila kugushi au kununua cheti hilo halina nafasi Bashite atuambie hatumuachi ...
 
Kumbe Inawezekana alifeli MUCCOBS na simu ya sitta ilimfanya aendelee kuwepo.
 
DAUDI BASHITE DAUDI BASHITE MTAPINDA MIDOMO KWA KUMTAKA MAKONDA APATWE NA MABAYA WENGINE HATA KUWAPIGIA WAZAZI WENU SIMU KUWASALIMIA MUDA HAMNA MMEKALIA TUU DAUDI BASHITE ...MWENZENU NDO KWANZA MUNGU ANABARIKE WAJINGA NYINYI
NYE NYE NYE NYE NYEEEEEEE
 
Hapana bhana, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni... kwa hili Daudi Bashite tutakuwa tunamuonea!! Hii nadhani aione yule mwingine yule... yule jamaa aliye juu sana yule ambae alikaliwa kooni na Ben Saanane!!

Hapa Bashite itakuwa tunamuonea manake hata hiyo level ya ku-plagiarize hakuifikia, kwa sababu, technically ameishia darasa la 12 ambapo, kwa mujibu wa Askofu Gwajima, aliondoka na karai lake safi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…