kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 12,373
- 14,078
Si Mavi kimangeMdada wa ulaya ni nani?
Sheria ipi ?Kwa mujibu wa sheria
Kwa mujibu wa ipi; ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au ya CCM?Mchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gelard Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa
Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema
Source: WASAFI FM
Pia soma RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Zote mbili toleo la 1977 😄Kwa mujibu wa ipi; ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au ya CCM?
Ahahahahaha! Haya bwana!Zote mbili toleo la 1977 😄
Ni sahihi, ametoa tuhuma za uhaini kwa Baraza la Mawaziri.Ameaingizia baraza mawaziri ( chombo kikuu cha Rais) amewapa tuhuma za uhaini kwa Rais....
Nyau km Makonda na bahati mbaya hana hata akili nani amwogope. Rudisha kwao Kolomije akafuge fisi. Yule dogo ni jinga sanaMchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gelard Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa
Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema
Source: WASAFI FM
Pia soma RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Mbona mnamchelewesha.!?Mchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gelard Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa
Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema
Source: WASAFI FM
Pia soma RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
Hakika alifanya upumbavu🤣🤣🤣🤣🪑🪑🪑🪑💺💺📌Makonda mchafu . Hawezi kutakasika mpaka amwombe msamaha Mzee Warioba hadharani
Nipo GhanaWe dogo hii ni Tanzania siyo Senegali
Miaka yake ni katiya 40-45 si zaid ya hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🪑🪑🪑🪑🪑💺💺💺💺🎶🎶🎶🎶🎶📌Hivi bashite ana umri gani?
Hivi makonda anashutumiwa kwa kosa ganiMchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gelard Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa
Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema
Source: WASAFI FM
Pia soma RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa
mara nyingi hii strategy hutengeneza maadui wengi kuliko marafiki. Hawa maadui ni wale ambao hakukuwa na ulazima wa kuwatengenezaTatizo la makoñda ni yeye kutaka kupalilia kibarua chake Kwa kuotesha magugu kwenye vibarua vya wenzake