Jana saa nane mchana nilipigiwa simu na mtu ambaye amejitambulisha kuwa ni omary yupo ikwiriri kwenye mradi wa kilimo kwanza nakuniambia kuwa ananifahamu kwakunitajia majina yangu vizuri na kuniambia kuwa wana matrecta yao sita yameharibika na spea zinapatikana suma jkt kwa kuzitoa kiwezi kuna jamaa yupo pale atazitoa na kuniuzia kwa bei ya 300000/= pipe za hdyroulic pump 50 na tutaziuza kwa sh 500000/= kila moja lakini inatakiwa tupate rist plain isio andikwa kitu iwe na mhuri wa suma jkt ili tuweze kuweka hiyo bei yetu na hiyo risti ili nipatin inatakiwa ni tume 400000/= kwa mhasibu wa suma jkt kwa njia ya tigo pesa no.ya cimu 0714478511.kwakuwa nilishastukia issue mapema nikamwabia kuwa huo utapeli wake ni wakitoto sana hawezi kunipata , kwa utafiti niliopata baada ya kuwastukia kuna jamaa wanawapa details kamili za watu pindi akikupigia simu anakuwa kama anakufahamu toka kitambo, baadaye akanipigia na kuniambiya kuwa kama nina vichwa niwape kila kichwa watoa 50000/= wao wanapiga laki nne hadi tatu. Tuwe makini nahao jamaa.