Hii mada imekaa kitabibu zaidi kuliko kimahusiano. INNOVATOR, naomba uipelekeHabari.Non-tongue roller ni mtu asieweza kukunja ulimi wake kutengeneza duara.Katika pita pita zangu, kusikiliza redioni, na kuangalia kwenye tv, nimegundua, kunaidadi kubwa ya watanzania vijana ambao ni non-tongue rollers.Hii ina maana kuwa, wazazi/ watanzania wengi kama sio non-tongue roller basi ni carrier.Elimu ya genetics....Kuwatambua, ni pale anapotakiwa kutumia "s" kwenye Kiswahili chetu, mfano neno sasa, yeye atakuambia "thatha"
Wasioweza kuroll
Wasioweza kuroll