Mkuu umelenga kupata wateja kutoka Geita na Katoro/Buselesele afu umetumia KIINGEREZA! ina maana hujui hata wateja unaotaka kuwapa huduma wakoje!
Andika kwa KISWAHILI na ufafanue hasa kwa mapana zaidi, nakuambia haya kwakuwa hata mimi nabaingaiza hapo katoro so nawajua na kuwatambua fika wabangaizaji wenzangu wa hapa