Bajet kiduchu halafu mashirt kama yoteNAHITAJI KUNUNUA GARI HARAKA! (Brevis, Altezza, au Nissan X-Trail)
Ndugu wana-Jamii Forum,
Natafuta kununua gari haraka na nina bajeti yangu tayari. Nina nia ya kununua moja kati ya magari yafuatayo:
Toyota Brevis
Toyota Altezza
Nissan X-Trail
[emoji736] Sifa Ninazotafuta:
Hali: Gari liwe katika hali nzuri (liwe clean na well-maintained). Gari lisilo na matatizo makubwa ya injini, chasi, au gearbox.
Mifumo: Mifumo yote iwe inafanya kazi (AC, power windows, n.k.).
Hati: Liwe na hati safi na halina deni (liwe ready for transfer).
[emoji383] Bajeti Yangu:
Bajeti yangu ya kununua gari ni hadi Shilingi 5,000,000.00 (Milioni Tano). Bei itategemea hali na mwaka wa utengenezaji wa gari husika.
Ilibidi niangalie post ni ya lini?hivi altezza bado zipo sokoni aisee..
Usijali mkuu one day yesKuna dalili mwaka huu nikaufunga nikiwa member pekee wa jamii forums ambaye sijanunua, wala kumiliki gari nje ya ile baiskeli yangu ya Phoenix.
NAHITAJI KUNUNUA GARI HARAKA! (Brevis, Altezza, au Nissan X-Trail)
Ndugu wana-Jamii Forum,
Natafuta kununua gari haraka na nina bajeti yangu tayari. Nina nia ya kununua moja kati ya magari yafuatayo:
Toyota Brevis
Toyota Altezza
Nissan X-Trail
[emoji736] Sifa Ninazotafuta:
Hali: Gari liwe katika hali nzuri (liwe clean na well-maintained). Gari lisilo na matatizo makubwa ya injini, chasi, au gearbox.
Mifumo: Mifumo yote iwe inafanya kazi (AC, power windows, n.k.).
Hati: Liwe na hati safi na halina deni (liwe ready for transfer).
[emoji383] Bajeti Yangu:
Bajeti yangu ya kununua gari ni hadi Shilingi 5,000,000.00 (Milioni Tano). Bei itategemea hali na mwaka wa utengenezaji wa gari husika.
Ikiwa una Brevis, Altezza, au Nissan X-Trail ambayo inafaa maelezo haya na iko katika bajeti yangu, tafadhali wasiliana Nami.