Jamani kama mumesoma comment vizuri alisema hakutaka kumpa mtu anayemfahamu kwasababu siku ikizingua ataanza lawama kwamba amempa kitu kibovu au ambacho hakifai simunajua ndugu lawama? ndio maana akataka kumpa mtu asiyemjua kabisa.
tuliomba kitu kimoja tu, aliyepewa ni Member wa humu ajitokeze na ampe shukrani mtoaji
au atupie kapicha tu, maana Like ukiipata unashukuru sembuse tairi la gari
hebu warudi hapa waliotoa au kuzawadiana tutaamini