Bi nyakomba JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 385 Reaction score 104 Nov 21, 2014 #1 Habari kichwa cha habari chahusika. ni ya mwaka 2002. imetumika miaka miwili tu. Iko Dar
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,764 Nov 21, 2014 #2 Bi nyakomba said: Habari kichwa cha habari chahusika. ni ya mwaka 2002. imetumika miaka miwili tu. Iko Dar Click to expand... Ungeweka, picha, mileage, bei otherwise watu watakuwa wanapita tu
Bi nyakomba said: Habari kichwa cha habari chahusika. ni ya mwaka 2002. imetumika miaka miwili tu. Iko Dar Click to expand... Ungeweka, picha, mileage, bei otherwise watu watakuwa wanapita tu
W wakwetu rd Member Joined Jul 23, 2014 Posts 15 Reaction score 0 Nov 21, 2014 #3 Nitumie whstsap 0765510904
Bi nyakomba JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 385 Reaction score 104 Nov 21, 2014 Thread starter #4 elmagnifico said: Ungeweka, picha, mileage, bei otherwise watu watakuwa wanapita tu Click to expand... nimeshindwa Ku download mkuu. naendelea kujaribu
elmagnifico said: Ungeweka, picha, mileage, bei otherwise watu watakuwa wanapita tu Click to expand... nimeshindwa Ku download mkuu. naendelea kujaribu
+255 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 1,939 Reaction score 762 Nov 21, 2014 #5 Bi nyakomba said: nimeshindwa Ku download mkuu. naendelea kujaribu Click to expand... Hadi bei pamoja na mileage na vyenyewe ni vya ku download? *(upload)
Bi nyakomba said: nimeshindwa Ku download mkuu. naendelea kujaribu Click to expand... Hadi bei pamoja na mileage na vyenyewe ni vya ku download? *(upload)
R Rweza79 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 207 Reaction score 48 Nov 21, 2014 #6 Picha plzzzzzz!!!!
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,137 Reaction score 2,267 Nov 21, 2014 #7 ni toyota swift ama suzuki swift?
kalou JF-Expert Member Joined Aug 22, 2009 Posts 4,992 Reaction score 3,882 Nov 21, 2014 #8 Toyota swift ndo ipi? weka picha tuone