MstahikiMeya
Toyota crown
3.0l - V6
Year - 2004
No problem at all..
Price:21 milion
Mawasiliano zaidi piga simu # +255 786242495
Mkuu inategemea na model gs,gh engine zake ni 1g cc 2000 jzx 150 engine zake 1jz cc 2500-3000jzs na hilo hapo juu cc 3000 engine zake ni jzs 175.
Shukrani kaka naona zinataka kuwa "phenomenon"!!!!
Mkuu hii ni one of best car kwa mjapan. Ni benz ya kijapan.
Shukrani kaka naona zinataka kuwa "phenomenon"!!!!
Wewe ni Ezekiel Olesaidimu?
Yeye si mimi na mimi si yeye!!!
MstahikiMeya
Toyota crown
3.0l - V6
Year - 2004
No problem at all..
Price:21 milion
Mawasiliano zaidi piga simu # +255 786242495
Mmmmh, milion 21?
Wewe ni Ezekiel Olesaidimu?
Huwa hawaulizani hivyo nduguyangu!!
Mkuu inategemea na model gs,gh engine zake ni 1g cc 2000 jzx 150 engine zake 1jz cc 2500-3000jzs na hilo hapo juu cc 3000 engine zake ni jzs 175.
Wanauliza vipi mkuu au PM?
PM Mkuu, kama hakuna "beji" ya verified user kamwe usimwite mtu jina lisilo lake, mfuate inbox!
mkuu hivi inawezekana nikanunua hili alafu nikapachika engine ya kawaida tu..cc 1900 labda..four cylinder ili liwe linaendesheka hahahaha...
Blaza bhana hukosi nasaha za hapa na pale!!!!
Mi mzima blaza.