Gari Suzuki K inauzwa.

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
1,583
Reaction score
2,383
Sold
 

Attachments

  • 14292251_311070725924810_3450585096800132501_n.jpg
    68.2 KB · Views: 161
  • 14344171_311070775924805_2127728135327028413_n.jpg
    45.7 KB · Views: 81
  • 14344329_311070792591470_6932658004679052623_n.jpg
    62.5 KB · Views: 77
gari tam wenye mipunga mchuma huooo?
 
Kwa kweli ka Gari kataaaamu, ingekuwa zamani enzi za kuhonga ningemtafuta Mdau mmoja. Lakini kwa kuwa siku hizi hali ya uchumi unaenda Mwendokasi
 
Tufanye swap, nakupa gari yangu ambayo ipo fresh. Ni marekebisho ya hapa na pale tu halafu nakuongeza na na mil. 1.
 
Kigari kizuri,nngemchukulia bby ake,sema ndio hivyo transmission ni Manual wife huwa hapendi...
 
Namba yako ya simu uliyoweka haiambuliki nicheck kwa 0652710020 ufanye biashara leoleo
 
Ako kagari nyakati hizi ni very friendly.Ukitupia wese la elf 40 full tank..Aina mawazo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…