Haya watu endeleeni na biashara,ishuya dolari imeishakuwa sorted out.
Naimani mleta uzi harudii tena kosa hilo.
Kazeni bei mchukue Rav 4 hiyo,roho za paka hizo,maana kama Escudo.
Kuna jamaa yangu alinunua miaka kibao,ameipinda balaa hadi anaibebea mkaa badi inapiga mzigo.
Mkuu ni Manual au Auto hiyo?