kimbunga jnr JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 260 Reaction score 59 Aug 31, 2014 #1 Body ni silver ni automatic. Ipo katika hali nzuri ipo dar nicheck kupitia 0682111140
Damidizzo JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 400 Reaction score 174 Aug 31, 2014 #2 kimbunga jnr said: Body ni silver ni automatic. Ipo katika hali nzuri ipo dar nicheck kupitia 0682111140 Click to expand... hali nzuri ww ulieiona sisi tutashawishika vip? weka picha na vitu muhimu km ni ya mwaka gani aina ya engine na mileage ndo wanavyofanya wenzako.
kimbunga jnr said: Body ni silver ni automatic. Ipo katika hali nzuri ipo dar nicheck kupitia 0682111140 Click to expand... hali nzuri ww ulieiona sisi tutashawishika vip? weka picha na vitu muhimu km ni ya mwaka gani aina ya engine na mileage ndo wanavyofanya wenzako.
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,544 Reaction score 30,119 Aug 31, 2014 #3 Picha ni kitu cha muhimu sana..
kimbunga jnr JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 260 Reaction score 59 Aug 31, 2014 Thread starter #4 Natumia cm siwezi kupost picha jamn imetembea km 158009. Ni. Ya mwaka 2004
kimbunga jnr JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 260 Reaction score 59 Sep 1, 2014 Thread starter #5 Kama anataka kuiona aje whatsapp kupitia no 0717111140
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 Sep 1, 2014 #6 kimbunga jnr said: Natumia cm siwezi kupost picha jamn imetembea km 158009. Ni. Ya mwaka 2004 Click to expand... Tafuta jinsi ya kufanya urahisishe biashara yako mambo ya kuweka sababu za kukwepa uwazi havisaidii!!!!
kimbunga jnr said: Natumia cm siwezi kupost picha jamn imetembea km 158009. Ni. Ya mwaka 2004 Click to expand... Tafuta jinsi ya kufanya urahisishe biashara yako mambo ya kuweka sababu za kukwepa uwazi havisaidii!!!!
kimbunga jnr JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 260 Reaction score 59 Sep 1, 2014 Thread starter #7 Sawa mkubwa ila ukitaka pics nakutumia kupitia whatsapp kwa no 0717111140 muda wote nipo online ila huku nimeshindwa kabisa kuappload picha
Sawa mkubwa ila ukitaka pics nakutumia kupitia whatsapp kwa no 0717111140 muda wote nipo online ila huku nimeshindwa kabisa kuappload picha