98mzavallah Member Joined Feb 13, 2015 Posts 37 Reaction score 12 Jul 16, 2015 #1 Gari linauzwa, lipo Dar es salaam na katika hali nzuri, ni TOYOTA SPACIO, Mwaka 1997, CC 1600, na Bei 5.5M, Kwa anaye hitaji maelezo zaidi tafadhali piga 0754 711 137. Attachments 20150716014433.jpg 29.1 KB · Views: 395 20150716014435.jpg 22.7 KB · Views: 317 20150716014437.jpg 24.5 KB · Views: 305 20150716014447.jpg 26.9 KB · Views: 291
Gari linauzwa, lipo Dar es salaam na katika hali nzuri, ni TOYOTA SPACIO, Mwaka 1997, CC 1600, na Bei 5.5M, Kwa anaye hitaji maelezo zaidi tafadhali piga 0754 711 137.
citizentz Member Joined Feb 25, 2015 Posts 13 Reaction score 11 Jul 16, 2015 #2 Spacio model gani? Weka tangazo lako vizuri mkuu
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,369 Reaction score 138,009 Jul 16, 2015 #3 citizentz said: Spacio model gani? Weka tangazo lako vizuri mkuu Click to expand... Mbona tangazo linaeleweka mkuu kama vp mrukie hewani akupe details zaidi
citizentz said: Spacio model gani? Weka tangazo lako vizuri mkuu Click to expand... Mbona tangazo linaeleweka mkuu kama vp mrukie hewani akupe details zaidi
98mzavallah Member Joined Feb 13, 2015 Posts 37 Reaction score 12 Jul 16, 2015 Thread starter #4 mrangi said: Mbona tangazo linaeleweka mkuu kama vp mrukie hewani akupe details zaidi Click to expand... Kaka asante kwa kumwelewesha, ila ktk jamii watu kama hao ni hawakosekani maaana mpaka namba ya simu kapewa hapo lakin bado hajaelewa
mrangi said: Mbona tangazo linaeleweka mkuu kama vp mrukie hewani akupe details zaidi Click to expand... Kaka asante kwa kumwelewesha, ila ktk jamii watu kama hao ni hawakosekani maaana mpaka namba ya simu kapewa hapo lakin bado hajaelewa