Matangazo design hii kweli ni
Mateso!
maliza hapa hapa simu iwe ni hatua ambayo mtu ameshajiridhisha na maelezo ya msingi ya gari; mfano odometer, engine capacity, YOM, imported Year, accident history if any, mahali ilipo, picha zake then simu ni ya mwisho kwa maana mteja at least anakuwa amejiridhisha na maelezo ya awali ambayo ndio msingi.