Gari linauzwa

ochoo

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
49
Reaction score
1
Ninauza gari aina ya Isuzu trooper station wagon turbo engined ambayo ipo arusha. Gari lipo katika hali nzuri kabisa na halina tatizo lolote.

mileage; 151000kms
Fuel; diesel
2700cc
make 1995
colour silver.
Price 10M
Karibuni kwa maongezi zaidi.
SIMU NI; 0786305664
0717543373
 

Attachments

  • IMG-20130218-WA0000.jpg
    61 KB · Views: 131
  • IMG-20130218-WA0002.jpg
    44.5 KB · Views: 145
  • IMG-20130218-WA0001.jpg
    65.7 KB · Views: 128
Mkuu ochoo.
Hii mashine imesimama kwa mdau yeyote atakae nunua atakua amelamba bingo...

mimi nahitaji suzuki carry..
Shukrani...
 
ndio ndio comred.......upo sahihi kabisaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…