Iruru JF-Expert Member Joined Jan 27, 2014 Posts 1,469 Reaction score 2,902 Mar 10, 2017 #1 Wadau hiyo gari ipo sokoni, ipo kwenye condition nzuri, inatembea. Ina radio FM, air condition safi, ABC safi na kwa hakika hutojuta kuinunua. Bei inanzia 4.5, maelewano yapo. Kwa serious buyer aje inbox
Wadau hiyo gari ipo sokoni, ipo kwenye condition nzuri, inatembea. Ina radio FM, air condition safi, ABC safi na kwa hakika hutojuta kuinunua. Bei inanzia 4.5, maelewano yapo. Kwa serious buyer aje inbox
academy Senior Member Joined Nov 29, 2016 Posts 158 Reaction score 110 Mar 10, 2017 #2 Gari gani mkuu na unapatikana wapi mi naitaji ipo mbili na nusu nicheki hapa 0713880711
successor JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 3,084 Reaction score 6,155 Mar 10, 2017 #3 Sijaiona vizuri...ni aina gani?
galindas JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 978 Reaction score 1,306 Mar 10, 2017 #5 Toa maelezo mazuri, gari gani, ya mwaka gani, uwezo wake cc ngapi, fuel usage, transmition etc. hapo umeweka wateja njia panda.
Toa maelezo mazuri, gari gani, ya mwaka gani, uwezo wake cc ngapi, fuel usage, transmition etc. hapo umeweka wateja njia panda.
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,505 Reaction score 6,903 Mar 10, 2017 #6 Nadhani hyo ndio gari yenye shape mbaya kwa upande wangu mm kuwahi kuiona. Nissan cube dah kama kibox cha kuekea vifaranga
Nadhani hyo ndio gari yenye shape mbaya kwa upande wangu mm kuwahi kuiona. Nissan cube dah kama kibox cha kuekea vifaranga
ivanorkababu JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 412 Reaction score 350 Mar 13, 2017 #7 Nissan hapana mkuuu