B Brightonswai Member Joined May 24, 2012 Posts 9 Reaction score 0 Jun 1, 2012 #1 Gari Inauzwa Vitz Ya Mwaka 2000,Engine VVTI,Colour Apple Green ipo Vizuri Na Katika Hali Nzuri sana,. bei Ni 7.8 Million, Maelewano Yapo.. karibu Tufanye Biashara.. Namba Ya Simu Ni 0717783919
Gari Inauzwa Vitz Ya Mwaka 2000,Engine VVTI,Colour Apple Green ipo Vizuri Na Katika Hali Nzuri sana,. bei Ni 7.8 Million, Maelewano Yapo.. karibu Tufanye Biashara.. Namba Ya Simu Ni 0717783919
semango JF-Expert Member Joined Aug 24, 2010 Posts 532 Reaction score 45 Jun 1, 2012 #2 wapi picha mkuu?
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,663 Jun 1, 2012 #3 ....Pia ni vizuri ukasema KM ambazo gari ishatembea. zaidi picha ni muhimu sana.