F FLEX Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21 Reaction score 1 Apr 21, 2012 #1 Gari aina ya Rv 4 T311 AFL inauzwa kwa bei nafuu million 9 maelewano yapo! No za simu 0716 21 61 29.
M mbongopopo JF-Expert Member Joined Jan 24, 2008 Posts 1,611 Reaction score 764 Apr 21, 2012 #2 picha????????
F FLEX Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21 Reaction score 1 Apr 21, 2012 Thread starter #3 Bro nimechemka kuweka picha ila iko fresh inatembea km ukitaka kuiona we nipigie tu utaiona!
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,372 Reaction score 5,124 Apr 21, 2012 #4 FLEX said: Bro nimechemka kuweka picha ila iko fresh inatembea km ukitaka kuiona we nipigie tu utaiona! Click to expand... Milango mingapi, rangi,km ngapi,weka wazi mkuu.
FLEX said: Bro nimechemka kuweka picha ila iko fresh inatembea km ukitaka kuiona we nipigie tu utaiona! Click to expand... Milango mingapi, rangi,km ngapi,weka wazi mkuu.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Apr 21, 2012 #5 Malila said: Milango mingapi, rangi,km ngapi,weka wazi mkuu. Click to expand... ununue malila uwe unanipa lift. Lol
Malila said: Milango mingapi, rangi,km ngapi,weka wazi mkuu. Click to expand... ununue malila uwe unanipa lift. Lol
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,372 Reaction score 5,124 Apr 21, 2012 #6 Husninyo said: ununue malila uwe unanipa lift. Lol Click to expand... Kwa kweli,ile folen ya Buguruni Segerea inatutesa sana.
Husninyo said: ununue malila uwe unanipa lift. Lol Click to expand... Kwa kweli,ile folen ya Buguruni Segerea inatutesa sana.
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,455 Reaction score 36,449 Apr 21, 2012 #7 weka picha, rangi na mambo mengine yote hadharani
F FLEX Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21 Reaction score 1 Apr 21, 2012 Thread starter #8 Dark blue,milango mitano, picha nimeshindwa kuweka natumia wana jamii, gari ipo uhakika!
F FLEX Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21 Reaction score 1 Apr 21, 2012 Thread starter #9 Km ngapi sijaelewa,kama bei nishaitaja na maelewano yapo baada ya kuiona,ni gari ya kupanda na kuondoka nayo tu!
Km ngapi sijaelewa,kama bei nishaitaja na maelewano yapo baada ya kuiona,ni gari ya kupanda na kuondoka nayo tu!
M mbongopopo JF-Expert Member Joined Jan 24, 2008 Posts 1,611 Reaction score 764 Apr 21, 2012 #10 FLEX said: Bro nimechemka kuweka picha ila iko fresh inatembea km ukitaka kuiona we nipigie tu utaiona! Click to expand... mimi siitaki, ila picha zinakuongezea bahati ya wateja zaidi kuitamani na hata kuttaka kununua.
FLEX said: Bro nimechemka kuweka picha ila iko fresh inatembea km ukitaka kuiona we nipigie tu utaiona! Click to expand... mimi siitaki, ila picha zinakuongezea bahati ya wateja zaidi kuitamani na hata kuttaka kununua.
F FLEX Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21 Reaction score 1 Apr 21, 2012 Thread starter #12 mbongopopo said: mimi siitaki, ila picha zinakuongezea bahati ya wateja zaidi kuitamani na hata kuttaka kununua. Click to expand... poa, bro ntajitaidi niweke picha!
mbongopopo said: mimi siitaki, ila picha zinakuongezea bahati ya wateja zaidi kuitamani na hata kuttaka kununua. Click to expand... poa, bro ntajitaidi niweke picha!
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,372 Reaction score 5,124 Apr 21, 2012 #13 FLEX said: Km ngapi sijaelewa,kama bei nishaitaja na maelewano yapo baada ya kuiona,ni gari ya kupanda na kuondoka nayo tu! Click to expand... KM ngapi nina maana kilomita ngapi ishakula. Nipe jibu mi naitaka.
FLEX said: Km ngapi sijaelewa,kama bei nishaitaja na maelewano yapo baada ya kuiona,ni gari ya kupanda na kuondoka nayo tu! Click to expand... KM ngapi nina maana kilomita ngapi ishakula. Nipe jibu mi naitaka.
Q queenkami JF-Expert Member Joined Feb 8, 2010 Posts 1,857 Reaction score 1,407 Apr 21, 2012 #14 muwe mnaweka picha,inamrahisishia kwa kiasi fulani mtu anayetaka kununua
B BLB JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 382 Reaction score 43 Apr 24, 2012 #15 jamaa kagoma kusema km, lets assume its more than laki 2