prince wilson Member Joined Jan 7, 2013 Posts 10 Reaction score 4 Jan 10, 2013 #1 GARI HII INA UZWA TSH.12,500,000 tu.nipo jijini dar es salaam wasiliana nami simu namba 0719 147503. E-mail:wilson.malisa@yahoo.com
GARI HII INA UZWA TSH.12,500,000 tu.nipo jijini dar es salaam wasiliana nami simu namba 0719 147503. E-mail:wilson.malisa@yahoo.com
lucky sabasaba JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 1,656 Reaction score 1,205 Jan 11, 2013 #2 Ni ya mwaka gani..manual or auto...imelipiwa kodi...bima...au. ????
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Jan 11, 2013 #3 kuwa mkweli ndugu hii picha imepigiwa nje na gari unasema iko dar kwa nini usipige picha halisi kwa sassa na mazingira ya dar. au unataka kutuuzia mbuzi ndani ya gunia.
kuwa mkweli ndugu hii picha imepigiwa nje na gari unasema iko dar kwa nini usipige picha halisi kwa sassa na mazingira ya dar. au unataka kutuuzia mbuzi ndani ya gunia.
Mabreka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 709 Reaction score 209 Jan 11, 2013 #4 weka detail za kutosha km gar ni yako, sie wengine hapa madalali tunakulipa alaf sie tunapiga cha juu. Tafadhal weka picha yake halis, manake isije ikawa ni nyeupe
weka detail za kutosha km gar ni yako, sie wengine hapa madalali tunakulipa alaf sie tunapiga cha juu. Tafadhal weka picha yake halis, manake isije ikawa ni nyeupe