Haya mambo ya kutokuweka bei yamepitwa na wakati, Tradecarview unakuta wameweka bei eg US$ 1800, then mnaongea punguzo mpaka mnakubaliana eg US$ 1500 na kuuziana gari bila kupotezeana muda, Na hiyo Surf yako utadoda nayo kwani yanajulikana ugonjwa wake engine ni kimeo kila siku gereji kwani Mjapani alitengeneza toleo hilo akiwa usingizini...jamaa yangu aliuza Tsh 3,000,000/= kwa sababu alishindwa kutoa ugonjwa wake wa kuchemsha ambao nafikiri na wewe yamekupata